Nenda kwa yaliyomo

Mto Kobato

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Kobato unapatikana katika kaunti ya Isiolo, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Juba ambao unaingia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]