8 Machi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Machi 8)
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 8 Machi ni siku ya 67 ya mwaka (ya 68 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 298.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1495 - Mtakatifu Yohane wa Mungu, mtawa nchini Hispania
- 1879 - Otto Hahn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1944
- 1886 - Edward Kendall, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950
- 1929 - Hebe Camargo, mwimbaji wa Brazil
- 1960 - Jeffrey Eugenides, mwandishi kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1144 - Papa Celestino II
- 1550 - Mtakatifu Yohane wa Mungu, mtawa nchini Hispania
- 1869 - Hector Berlioz, mtunzi wa opera kutoka Ufaransa
- 1874 - Millard Fillmore, Rais wa Marekani (1850-1853)
- 1923 - Johannes Diderik van der Waals, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1910
- 1930 - William Howard Taft, Rais wa Marekani (1909-1913)
- 1995 - Paul Horgan, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]- Siku ya kimataifa ya wanawake inasherehekewa katika nchi nyingi kwenye tarehe hii
- Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane wa Mungu, Ponsyo wa Karthago, Apoloni na Filemoni, Provino, Senan, Felisi wa Dunwich, Teofilati wa Nikomedia, Hunfridi, Litifridi, Duthak, Veremundo wa Irache, Stefano wa Obazine, Emanueli Miguez n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 8 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |