Paul Horgan
Mandhari
Paul George Vincent O'Shaughnessy Horgan (1 Agosti 1903 – 8 Machi 1995) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika riwaya na vitabu vya kihistoria. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia mara mbili, kwanza 1955 kwa kitabu chake Great River: The Rio Grande in North American History ("Mto Mkubwa: Mto wa Rio Grande katika Historia ya Marekani"), na tena 1976 kwa wasifu ya "Lamy of Santa Fe".
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paul Horgan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |