Kilis

Majiranukta: 36°42′58″N 37°06′54″E / 36.7161°N 37.1150°E / 36.7161; 37.1150
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 10:38, 16 Agosti 2013 na Rotlink (majadiliano | michango) (deadlink fix: content removed from google cache, found on web archive)
Wilaya za Kilisi

Kilis ni mji uliopo kusini-katikati mwa nchi ya Uturuki katika mpaka wa nchi ya Syria. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Kilis. Kwa mujibus wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji ulikadiriwa kuwa na wakazi wapatao 70,000. Mji upo katika kimo cha mita 663 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya Nje

36°42′58″N 37°06′54″E / 36.7161°N 37.1150°E / 36.7161; 37.1150


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kilis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.