Bingöl
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo la Bingöl)
Bingöl (Kizazaki: Çolig) (Kiswahili: maziwa elfu) ni mji uliopo mjini Mashariki mwa nchi ya Uturuki. Hadi kufikia 1950, mji ulikuwa ukifahamika kwa jina la Çabakcur, ikiwa na maana ya maji madhalimu kwa Kiarmenia. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Bingöl.
Mji umezungukwa na milima na Mito ya Barafu, na kufanya liwe jina la kibiashara. Hivi karibuni, mji umepata kuwa kituo mashuhuri cha watalii. Mnamo mwaka wa 2000, mji ulikuwa na idadi ya wakazi wapatao 68,876 waishio huko kwa mjibu wa sensa zao.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bingöl kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |