Nenda kwa yaliyomo

Bilecik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo la Bilecik)
Katikati ya jiji la Bilecik.
Picha ya ramani kuonesha eneo la Bilecik

Bilecik ni mji mkuu wa Mkoa wa Bilecik katika nchi ya Uturuki.[1]

Ukiwa sambamba kabisa na na wilaya zake mji huu ni mashuhuri sana kwa kuwa hapa ndipo alipozaliwa Osmani Dynasty, ambao ni wanachama na waanzilishi wa Dola la Osmani.

  1. "HistoricTowns.org - Turkey". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-09-10. Iliwekwa mnamo 2008-10-17.


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bilecik kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.