Nenda kwa yaliyomo

Historia ya Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya Japani inahusu eneo ambalo leo linaunda ufalme wa Japani.

Visiwa vyake vilikaliwa na binadamu tangu miaka 30,000 KK.

Wakazi wa sasa wametokana na mchanganyiko wa makabila asili (kama Waainu) na Wakorea waliovamia visiwa hivyo kuanzia 500 KK.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Japani kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.