3 Agosti
Mandhari
(Elekezwa kutoka Agosti 3)
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 3 Agosti ni siku ya 215 ya mwaka (ya 216 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 150.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1871 - Vernon Louis Parrington, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1934 - Jonas Savimbi, mwanasiasa wa Angola
- 1943 - Steven Millhauser, mwandishi kutoka Marekani
- 1946 - Felix Christopher Mrema, mwanasiasa wa Tanzania
- 1958 - Peter Eriksson, mwanasiasa kutoka Uswidi
- 1959 - Koichi Tanaka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2002
- 1961 - Barnabas Kinyor, mwanariadha kutoka Kenya
- 1964 - Lucky Dube, mwanamuziki wa Afrika Kusini
- 1977 - Tom Brady
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1942 - Richard Willstatter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1915
- 2008 - Aleksandr Solzhenitsyn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1970
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Aspreno wa Napoli, Eufroni wa Autun, Martino wa Mondragone, Petro wa Anagni n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |