Vernon Louis Parrington
Mandhari
Vernon Louis Parrington (3 Agosti 1871 – 16 Juni 1929) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1928, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake Main Currents in American Thought.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vernon Louis Parrington kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |