Felix Christopher Mrema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Felix Christopher Mrema (amezaliwa tar. 3 Agosti 1946) ni mbunge wa jimbo la Arusha katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

Marejeo

  1. Mengi kuhusu Felix Christopher Mrema (4 Oktoba 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.