28 Desemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka 28 Disemba)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 28 Desemba ni siku ya 362 ya mwaka (ya 363 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 3.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 418 - Uchaguzi wa Papa Bonifasi I
- 2011 - Kim Jong-un akawa kingozi mkuu wa Korea Kaskazini baada ya mazishi ya baba yake
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1164 - Rokujo, mfalme mkuu wa Japani (1165-1168)
- 1856 - Woodrow Wilson, Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1919
- 1880 - Louis Leipoldt, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1944 - Kary Mullis, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1993
- 1990 - David Archuleta, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- mnamo 6 BK - Watoto wa Bethlehemu wakati wa kuzaliwa Yesu - hii ni tarehe ya kuwakumbuka kiliturujia
- 1622 - Mtakatifu Fransisko wa Sales, askofu Mkatoliki na mwalimu wa Kanisa kutoka Ufaransa
- 1991 - Cassandra Harris, mwigizaji wa filamu kutoka Australia
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya watakatifu Watoto wa Bethlehemu, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Theonas wa Aleksandria, Antoni wa Lerins, Gaspare Del Bufalo, Katerina Volpicelli n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 28 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |