Louis Leipoldt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dr. Christian Frederik Louis Leipoldt (28 Desemba 1880 - 12 Aprili 1947) alikuwa mwandishi, daktari na mkaguzi wa shule kutoka Afrika Kusini. Aliandika mashairi mengi ya Kiafrikaans pamoja na maandishi ya habari na kuhusu tiba.

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

  • Oom Gert Vertel en Ander Gedigte (1911; "Mjomba Gert Husimulia na Mashairi Mengine")
  • Bushveld Doctor (1937; tawasifu)
  • The Ballad of Dick King and Other Poems (1949)
  • Stormwrack (1980; imetolewa baada ya kifo chake)

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Louis Leipoldt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.