Nenda kwa yaliyomo

Kary Mullis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kary Mullis

Kary Banks Mullis (amezaliwa 28 Desemba 1944) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sifa za DNA. Mwaka wa 1993, pamoja na Michael Smith alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kary Mullis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.