25 Februari
Mandhari
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 25 Februari ni siku ya hamsini na sita ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 309 (310 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1906 - Mary Chase, mwandishi kutoka Marekani
- 1952 - Mohamed Said, mwandishi kutoka Tanzania
- 1954 - Renate Dorrestein, mwandishi wa kike kutoka Uholanzi
- 1965 - Carrot Top, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1950 - George Minot, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1934
- 1975 - Elijah Muhammad, kiongozi wa Nation of Islam nchini Marekani (1934-1975)
- 1983 - Tennessee Williams, mwandishi kutoka Marekani
- 1999 - Glenn Seaborg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1951
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Nestori wa Magido, Aldetruda wa Maubeuge, Sesari wa Nazianzo, Walburga, Jerlando wa Agrigento, Laurenti Bai Xiaoman, Toribio Romo, Alois Versiglia, Kalisti Caravario n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Archived 29 Februari 2008 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 25 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |