Nenda kwa yaliyomo

24 (msimu wa 7)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msimu wa 7 wa 24

Season 7 Cast
Nchi asilia Marekani
Mtandao Fox
Iko hewani tangu 11 Januari 2009 – 18 Mei 2009
Idadi ya sehemu 24
Tarehe ya kutolewa DVD 19 Mei 2009 (US)
Msimu uliopita Msimu wa 6
Msimu ujao Msimu wa 8

Msimu wa Saba (pia unajulikana kama Siku ya 7) ya mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha 24. Ilianza kuonesha kwa mara ya kwanza mnamo tar. 13 Januari 2008, lakini ilikawia kwa mwaka mmoja - kwa kufuatia Mgomo wa Umoja wa Waandishi wa Marekani-2007.[1] Mnamo tar. 23 Novemba 2008, Fox wakarusha 24: Redemption, filamu ya TV ya masaa mawili iliyotolewa baina ya misimu miwili.[2] Msimu w Saba ulianza nchini Marekani ukiwa una-rushwa masaa manne kwa zaidi ya nyusiku mbili mfululizo, kufuatia muundo wa misimu mitatu awali, masaa mawili ya mwanzo yalirushwa mnamoi Jumapili, 11 Januari 2009, na saa la tatu na nne lilianza kurushwa mnamo siku ya Jumatatu, 12 Januari. Fox walirusha vipande vilivyosalia bila kujali hata usumbufu wa siku za Jumatau.[3][4] Sky1 walitoa onesho maalumu la masaa mawili mnamo tar. 12 Januari katika siku ya Jumatatu. Masaa mengine mawili yalirushwa Jumatatu iliyofuata, na kipengele kimoja katika kila Jumatatu iliyofuata, ina-maana ya kwamba Uingereza walikuwa nyuma wiki kwa Marekani. Iko tofauti sana na misimu mingine, DVD ya msimu huu ilitolewa sawa kabisa na baada ya msimu kwisha.

Mstari wa hadithi unaaza na kuishia saa 8:00 asubuhi.

24: Redemption

[hariri | hariri chanzo]
Makala kuu: 24: Redemption

Fox walirusha filamu ya TV ya masaa mawili mnamo Jumapili, 23 Novemba 2008 ambalo na pengo baina ya misimu miwili.

Mstari wa hadithi unachukua siku ya uapisho wa Rais wa Marekani, Allison Taylor, na kipande kadhaa kimepigiwa nchini Afrika Kusini.[5] "[Jack] yu-zahamani na alikuwa akihama-hama kila mahali ili kujitafutia amani ya nafsi," alisema mtayarishaji msaidizi, Manny Coto. "Lakini aliishia huko nchini Sangala, nchi ya kufikirika huko Afrika, ambayo imepatwa na mapinduzi ya serikali." Akiwa Sangala, Bauer katumiwa barua ya kuitwa shaurini na Senati, lakini hakutaka kwenda.[6] Redemption uchukua takriban miaka 3 na miezi tisha (Januari 2015) baada ya Siku ya 6 na Siku ya 7 imechukua nafasi ya siku 65 (Machi 2015) baada ya Redemption.

Wahusika

[hariri | hariri chanzo]

Hii ni orodha ya wahusika wakuu wa Msimu wa 7. Kwa orodha iliyokamili, tafadhali tazama hapa kwa orodha maridhawa.

Nyota

Wageni Maalumu

Wageni Maalumu Walionekana

Wanaojirudia

  1. "Fox: '24' on shelf until next January", CNN, 2008-02-14. Archived from the original on 2008-03-14. 
  2. "Emmy and Golden Globe Winner 24 Gets a Jumpstart on the Clock with Special Two-Hour Prequel [[24: Redemption]] Sunday, November 23, on Fox". 2008-05-15. Iliwekwa mnamo 2008-05-16. {{cite web}}: URL–wikilink conflict (help)
  3. "Fox Message Board: Q&A with Director Jon Cassar". Fox Broadcasting Company. 2008-10-17. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-02.
  4. Dahl, Oscar (3 Novemba 2008). "24: FOX Sets Schedule for Season 7 Premiere". BuddyTV.com. Seattle: BuddyTV. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-10. Iliwekwa mnamo 2009-01-12.
  5. Gary Levin (2008-05-14). "Fox's fall schedule sets up for '24' and 'Idol'". USA Today. Iliwekwa mnamo 2008-05-07.
  6. "'Rookie' Webisodes provide fix for '24' fans", CNN, 2008-04-29. Retrieved on 2008-05-07. 

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]