Nenda kwa yaliyomo

Enuka Okuma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amezaliwa Enuka Vanessa Okuma
20 Septemba 1976
Vancouver, British Columbia, Canada
Majina mengine Enuka Okuma
Kipindi 1990-mpaka leo
Ndoa Mme, Joe Gasparik
Tovuti http://www.enukaokuma.com/


Okuma kwenye Tamasha la Kimataifa la Filamu Toronto 2014.
Okuma kwenye Tamasha la Kimataifa la Filamu Toronto 2014.

Enuka Vanessa Okuma (alizaliwa mnamo 20 Septemba 1976, ni mwigizaji kutoka nchini Kanada, anajulikana kwa umaarufu wake wa kuigiza katika Global Television Network. American Broadcasting Company|ABC police drama series, Rookie Blue (20102015). Okuma pia anajulikana kwa kazi yake ya uigizaji katika filamu ya mfululizo wa televisheni iitwayo Madison (TV series) (19941998) na Sue Thomas: F.B.Eye (20022005).

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Okuma alizaliwa katika mji wa Vancouver, British Columbia.[1] yeye asili yake ni wa Nigeria kutokea Igbo.[2]

Kazi ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 1990, alianza kazi yake katika kipindi cha televisheni akionekana mara kwa mara karibu na wengine katika kipindi cha kwanza cha 'Teen soap opera', Hillside. Katika mwaka 1990, pia alicheza kama msaidizi kaitika filamu mbalimbali zinazorushwa katika televisheni nchini Kanada, kama vile Madison.

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Julai 2, 2011 alifunga ndoa na mwanamuziki Joe Gasparik.[3][4]

  1. "Enuka Okuma Biography". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Aprili 2015. Iliwekwa mnamo 17 Machi 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-16. Iliwekwa mnamo 2020-10-31.
  3. "enuka okuma - the official site". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-25. Iliwekwa mnamo 17 Machi 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Actress Enuka Okuma's Movie-Inspired Wedding". Ndani Weddings. Iliwekwa mnamo 31 Januari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Enuka Okuma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.