Mary Lynn Rajskub

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mary Lynn Rajskub

Mary Lynn Rajskub baada ya kurekodi 24 Msimu wa 7, mnamo Mei 2009
Amezaliwa Mary Lynn Rajskub
22 Juni 1971 (1971-06-22) (umri 52)
Trenton, Michigan, Marekani

Mary Lynn Rajskub (muda mwigine hujiita kama Marylynn Rajskub) (amezalia tar. 22 Juni 1971) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Huyu ni msanii na mchekashaji wa vitimbi vya kusimama. Ana asili ya Kicheki na Kiireland. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Chloe O'Brian kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mary Lynn Rajskub kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.