Nenda kwa yaliyomo

Tuamotu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Tuamotu

Tuamotu ni funguvisiwa la Polinesia ya Kifaransa. Kiko upande wa kaskazini-mashariki wa kisiwa cha Tahiti. Ni funguvisiwa kubwa kabisa duniani. Mwaka wa 2002, idadi ya watu visiwani imehesabiwa kuwa 15,862. Watu wakaao visiwani kwa Tuamotu huongea Kituamotu na Kitahiti.

Visiwa ndani ya funguvisiwa[hariri | hariri chanzo]

Funguvisiwa ya Tuamotu ina makundi manane ya visiwa yafutayo:

Visiwa vya Disappointment[hariri | hariri chanzo]

Visiwa vya Duke of Gloucester[hariri | hariri chanzo]

Visiwa vya Tuamotu vya Mashariki Mbali[hariri | hariri chanzo]


Visiwa vya Hao[hariri | hariri chanzo]

Visiwa vya Hikueru[hariri | hariri chanzo]

Visiwa vya King George[hariri | hariri chanzo]

Visiwa vya Palliser[hariri | hariri chanzo]


Visiwa vya Raeffsky[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.