Amanu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kisiwa cha Amanu

Amanu ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kaskazini wa kisiwa cha Hao. Eneo la kisiwa ni 9.6 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Ikitake. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 192. Watu wakaao kisiwani kwa Amanu huongea Kituamotu na Kitahiti.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.