Arutua
Mandhari
Arutua ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Rangiroa. Eneo la kisiwa ni 15 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Rautini. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 680. Watu wakaao kisiwani kwa Arutua huongea Kituamotu na Kitahiti.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|