Marutea ya Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Marutea Nord)
Jump to navigation Jump to search

Marutea ya Kaskazini ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Makemo. Eneo la kisiwa ni 2.7 km². Wakati wa sensa mwaka wa 2012, hakuna watu wakaao kisiwani kwa Marutea ya Kaskazini.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Marutea ya Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.