Tikehau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Tikehau

Tikehau ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa magharibi wa kisiwa cha Rangiroa. Eneo la kisiwa ni 20 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Tuherahera. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 529. Watu wakaao kisiwani kwa Tikehau huongea Kituamotu na Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.