Takaroa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Takaroa

Takaroa ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kaskazini-mashariki wa kisiwa cha Takapoto. Eneo la kisiwa ni 20 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Teavaroa. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 882. Watu wakaao kisiwani kwa Takaroa huongea Kituamotu na Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.