Apataki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Apataki

Apataki ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Arutua. Eneo la kisiwa ni 20 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Niutahi. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa ni 350. Watu wakaao kisiwani kwa Apataki huongea Kituamotu na Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.