Vahitahi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Vahitahi ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kaskazini wa kisiwa cha Nukutavake. Eneo la kisiwa ni 2.5 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Mohitu. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 105. Watu wakaao kisiwani kwa Vahitahi huongea Kituamotu na Kitahiti.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vahitahi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.