Ahe
Jump to navigation
Jump to search
Ahe ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa magharibi wa kisiwa cha Manihi. Eneo la kisiwa ni 12 km². Kijiji cha pekee kisiwani huitwa Tenukupara. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 552. Watu wakaao kisiwani kwa Ahe huongea Kituamotu na Kitahiti.
![]() |
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|