Tekokota
Jump to navigation
Jump to search
Tekokota ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini wa kisiwa cha Hikueru. Eneo la kisiwa ni 0.9 km². Wakati wa sensa mwaka wa 2012, hakuna watu wakaao kisiwani kwa Tekokota.
![]() |
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tekokota kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|