Tematangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kisiwa cha Tematangi

Tematangi ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini-magharibi wa kisiwa cha Vanavana. Eneo la kisiwa ni 8 km². Kijiji kikuu kisiwani huitwa Tuihana. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 58. Watu wakaao kisiwani kwa Tematangi huongea Kituamotu na Kitahiti.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tematangi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.