Haraiki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Haraiki ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini wa kisiwa cha Makemo. Eneo la kisiwa ni 4 km². Wakati wa sensa mwaka wa 2012, hakuna watu wakaao kisiwani kwa Haraiki.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Haraiki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.