Hiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kisiwa cha Hiti

Hiti ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa magharibi wa kisiwa cha Makemo. Eneo la kisiwa ni 3 km². Wakati wa sensa mwaka wa 2012, hakuna watu wakaao kisiwani kwa Hiti.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.