Napuka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Napuka

Napuka ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa magharibi wa kisiwa cha Puka-Puka. Eneo la kisiwa ni 8 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Tepukamaruia. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 299. Watu wakaao kisiwani kwa Napuka huongea Kituamotu na Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.