Raroia
Mandhari
Raroia ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa magharibi wa kisiwa cha Fangatau. Eneo la kisiwa ni 41 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Garumaoa. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 233. Watu wakaao kisiwani kwa Raroia huongea Kituamotu na Kitahiti.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|