Nenda kwa yaliyomo

Fangatau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Fangatau

Fangatau ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini wa kisiwa cha Napuka. Eneo la kisiwa ni 6 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Teana. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 145. Watu wakaao kisiwani kwa Fangatau huongea Kituamotu na Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.