Nenda kwa yaliyomo

Toau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Toau

Toau ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kaskazini-magharibi wa kisiwa cha Fakarava. Eneo la kisiwa ni 12 km². Kijiji kikuu kisiwani huitwa Maragai. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 18 tu. Watu wakaao kisiwani kwa Toau huongea Kituamotu na Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.