Pukarua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Pukarua

Pukarua ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Tatakoto. Eneo la kisiwa ni 7 km². Kijiji cha pekee kisiwani huitwa Marautagaroa. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 227. Watu wakaao kisiwani kwa Pukarua huongea Kituamotu na Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.