Nenda kwa yaliyomo

Hereheretue

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Hereheretue

Hereheretue ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kaskazini-magharibi wa kisiwa cha Anuanuraro. Eneo la kisiwa ni 4 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Otetou. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 56. Watu wakaao kisiwani kwa Hereheretue huongea Kituamotu na Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.