Anaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kisiwa cha Anaa

Anaa ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini-magharibi wa kisiwa cha Tahanea. Eneo la kisiwa ni 38 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Tukuhora. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 497. Watu wakaao kisiwani kwa Anaa huongea Kituamotu na Kitahiti.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Anaa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.