Nengonengo
Mandhari
Nengonengo ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini-magharibi wa kisiwa cha Hao. Eneo la kisiwa ni 9 km². Wakati wa sensa mwaka wa 2012, hakuna watu wakaao kisiwani kwa Nengonengo.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|