Nenda kwa yaliyomo

Ahunui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Ahunui

Ahunui ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa la Tuamotu. Kiko upande wa kusini wa kisiwa cha Paraoa. Eneo la kisiwa ni km² 5.7.[1][2]

Wakati wa sensa ya mwaka wa 2012, hakukuwa na watu wakaao kisiwani kwa Ahunui.[3]

  1. "Population". Institut de la statistique de la Polynésie française. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Aprili 2020. Iliwekwa mnamo 23 Septemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Ahunui". oceandots.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Desemba 23, 2010. Iliwekwa mnamo 2008-03-03.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unfit URL (link)
  3. Young, J.L. (1899). "Names of the Paumotu Islands, with the old names so far as they are known". Journal of the Polynesian Society. 8 (4): 264–268. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Februari 2012. Iliwekwa mnamo 7 Januari 2015.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.