Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Norwei
Jump to navigation
Jump to search
Norwei |
![]() Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |

Frederik Stang alikuwa Waziri Mkuu kwanza wa Norwei.

Gro Harlem Brundtland alikuwa mwanamke kwanza aliyekuwa Waziri Mkuu wa Norwei.
Makala hii inaonyesha orodha ya Mawaziri Wakuu (kwa Kinorwei statsminister) wa Norwei.
Mawaziri Wakii tangu 1873 mpaka 1945[hariri | hariri chanzo]
1940–1945: Vita Kuu ya Pili ya Dunia[hariri | hariri chanzo]
- Waziri Mkuu aliyefukuzwa: Johan Nygaardsvold
- Waziri Mkuu: Vidkun Quisling (Nasjonal Samling) (tangu 5 Aprili mpaka 15 Aprili 1940)
- Mktuano wa baraza ya utawala: Ingolf Elster Christensen (tangu 15 Aprili mpaka 25 Septemba 1940)
- Mawaziri wa Naibu (tangu 1940 mpaka 1942)
- Rais wa Mawaziri: Vidkun Quisling (Nasjonal Samling) (tangu 1942 mpaka 1945)
Mawaziri Wakuu tangu 1945[hariri | hariri chanzo]

Jens Stoltenberg ni Waziri Mkuu sasa.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Birger Braadland na Nils Trædal walikuwa maziri wakuu kwamba Peder Kolstad alipokuwa mgonjwa na alipokufa.