Harald V wa Norwei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Harald V wa Norwei.

Harald V (alizaliwa 21 Februari 1937) ni mfalme wa Norwei. Baba yake alikuwa Olav V, na mama yake alikuwa Märtha. Harald aliaga dunia 17 Januari 1991. Yeye alikuwa mfalme wa kwanza kuzaliwa Norwei tangu miaka 600.

Harald alimoana na Sonjana wana watoto wawili: Märtha Louise (z. 1971) na Haakon Magnus (z. 1973).