Per Borten

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Per Borten

Per Borten (3 Aprili 191320 Januari 2005) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Norwei. Alikuwa Waziri Mkuu wa Norwei kuanzia 12 Oktoba 1965 hadi 16 Machi 1971.

Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Per Borten kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.