Thorbjørn Jagland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thorbjørn Jagland

Thorbjørn Jagland (amezaliwa 5 Novemba 1950) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Norwei. Alikuwa Waziri Mkuu wa Norwei kuanzia 25 Oktoba 1996 hadi 17 Oktoba 1997. Tangu 1 Oktoba 2009, Jagland ni Katibu Mkuu wa Baraza la Ulaya.

Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thorbjørn Jagland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.