John Lyng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Lyng (Kulia) akiwa na Waziri Mkuu wa Israeli mnamo mwaka 1967.

John Daniel Lyng (22 Agosti 190518 Januari 1978) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Norwei. Alikuwa Waziri Mkuu wa Norwei kuanzia tarehe 28 Agosti hadi 25 Septemba 1963. Tena alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje miaka ya 1965-1970.

Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Lyng kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.