Nenda kwa yaliyomo

Trygve Bratteli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Trygve Bratteli

Trygve Bratteli (11 Januari 191020 Novemba 1984) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Norwei. Alikuwa Waziri Mkuu wa Norwei mara mbili, yaani 17 Machi 1971 hadi 17 Oktoba 1972, na 12 Oktoba 1973 hadi 15 Januari 1976.

Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Trygve Bratteli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.