Nenda kwa yaliyomo

Erna Solberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Erna Solberg


Aliingia ofisini 
16 Oktoba 2013
Monarch Harald V
mtangulizi Jens Stoltenberg
Constituency Hordaland

Mwenyekiti wa Høyre
Aliingia ofisini 
9 Mei 2004
mtangulizi Jan Petersen

Waziri wa manispaa na mandeleo ya kikanda
Muda wa Utawala
19 Oktoba 2001 – 17 Oktoba 2005
Waziri Mkuu Kjell Magne Bondevik
mtangulizi Sylvia Brustad
aliyemfuata Åslaug Haga

Mbunge wa Norwei
Aliingia ofisini 
2 Oktoba 1989

tarehe ya kuzaliwa 24 Februari 1961 (1961-02-24) (umri 63)
Bergen
utaifa Mnorwei
chama Høyre

Erna Solberg (alizaliwa 24 Februari 1961) ni mwanasiasa wa Norwei wa chama cha Høyre ambaye ni Waziri Mkuu wa Norwei tangu Oktoba 2013. Amekuwa mbunge kutoka Hordaland tangu mwaka 1989, na amekuwa mwenyekiti wa Høyre tangu mwaka 2004.

Erna Solberg ni mwanamke wa pili kuwa Waziri Mkuu wa Norwei; mwanamke wa kwanza alikuwa Gro Harlem Brundtland. Waziri Mkuu kabla ya Solberg alikuwa Jens Stoltenberg.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • style="background:#F99;vertical-align:middle;text-align:center;" class="table-no"|Hapana Blogu wa Erna Solberg