Kjell Magne Bondevik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kjell Magne Bondevik

Kjell Magne Bondevik (amezaliwa 3 Septemba 1947) ni mwanasiasa wa Kinorwei, na alikuwa Waziri Mkuu wa Norwei tangu mwaka 1997 mpaka mwaka 2000, na tangu mwaka 2001 mpaka mwaka 2005. Alikuwa kiongozi wa Kristelig Folkeparti (Chama cha Watu Wakristo) tangu mwaka 1983 mpaka mwaka 1995. Jens Stoltenberg alimfuata kuwa Waziri Mkuu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]