Jan P. Syse

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jan P. Syse

Jan Peder Syse (25 Novemba 193017 Septemba 1997) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Norwei. Alikuwa Waziri Mkuu wa Norwei kuanzia 16 Oktoba 1989 hadi 3 Novemba 1990.

Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jan P. Syse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.