Oscar Torp

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Oscar Fredrik Torp (8 Juni 18931 Mei 1958) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Norwei. Alikuwa Waziri Mkuu wa Norwei miaka ya 1951-1955.

Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oscar Torp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.