Mtumiaji:Koryw98
RwandAir
RwandAir ni shirika la ndege la taifa la Rwanda. Kutoka makao makuu yake katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kigali, RwandAir hufanya operesheni zake nje ya Afrika, England, China, na India. Ndani ya Afrika, RwandAir hufanya operesheni zake katika miji mikubwa zaidi kupitia Afrika Kaskazini, Afrika Mashariki, Afrika Kusini, na Afrika Magharibi.[1]
Historia
Baada ya mauaji ya kimbari ya Rwanda serikali mpya ya Rwanda ilianzisha majaribio kadhaa ya kuanzisha shirika la ndege la taifa. Majaribio mengi ya ilifeli lakini katika mwake wa 2002 RwandAir ilianzishwa.[2] Shirika la ndege lilianzishwa na ndege kutoka sehemu za Afrika Mashariki. Katika mwaka wa 2010, RwandAir, ilianza huendesha operesheni zake kote katika bara ya Afrika. Mkuu wa operesheni mpya wa ndege za RwandAir alitoka Ulaya na RwandAir ilianzisha mpango wa thawabu. Pia, kutoka mwaka wa 2002 hadi mwaka wa 2010, RwandAir ilibadilisha kundi la nedege kwa kuongeza ndege za magharibi kutoka Boeing. RwandAir ilipatiwa uanachama wa IATA katika mwaka wa 2015.[3] Uanachama huu ni wa lazima kwa shirika la ndege lolote linalotaka kuendesha operesheni nje ya Afrika. Tangu wakati huo, RwandAir ilipanua upesi na iliendelea kwa sifa uzuri. Mwezi Februari mwaka wa 2022, shirika la ndege la taifa la Qatar liliinunua asilimia arobaini na tisa ya hisa ndani ya RwandAir.[4]
Mambo ya ushirika
RwandAir ni ilimiliki na serikali ya Rwanda. Pia, shirika la ndege ya Qatar ilimiliki kiguzo kidogo.[5] Mkuu wa sasa ni Yvonne Makolo.[6] Yeye ni anaheshimiwa na wenzake na anapewa sifa kwa ukuaji wa RwandAir. Yeye aliteka lazimisha wa IATA katika elfu mbili na ishirini na tatu. Hii itakuwa mara ya kwanza kwa wanawake kuongoza IATA. Licha ya uongozi mzuri, RwandAir haifanyi faida.[7]
Safari za RwandAir
RwandAir hudumia safari za ishirini na saba na sita zaidi kupanga.[8]
Mwisho wa Safari wa baadaye
New York, United States of America
Kundi
Kama ya mwezi ya Septemba 2022, RwandAir ina ndege kumi na mbili. Ndege hizo ni Airbus A330 mbili, Boeing 737-700NG mbili, Bombardier CRJ900NG mbili, Bombardier Q-400NG mbili.[9]
Siku za Uzoni
RwandAir inajaribu kuwa kitovu cha usafiri katika Afrika Mashariki. Hii itahitaji uwekezaji mkubwa katika ndege zaidi, miundombinu, na ushirikiano na mashirika ya ndege mengine. RwandAir ilitangaza mwezi uliopita kwamba ilikuwa imeungana na muungano wa Oneworld.[10] Hii itakuwa hatua muhimu kwa RwandAir. Pia, RwandAir ina mipango mikubwa ya kuanzisha safari mpya za ndege za kimataifa. Mipango hii italeta mabadiliko makubwa katika shirika la ndege la RwandAir.
- ↑ "Who we are". www.rwandair.com. Iliwekwa mnamo 2022-11-01.
- ↑ "Who we are". www.rwandair.com. Iliwekwa mnamo 2022-11-01.
- ↑ admin (2015-06-14). "RwandAir now in big league, joins IATA". TheNiche (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-01.
- ↑ "Qatar Airways confirms purchase of 49% stake in RwandAir". The Africa Report.com (kwa American English). 2020-02-10. Iliwekwa mnamo 2022-11-01.
- ↑ Sumit Singh (2020-07-24). "Qatar Airways' RwandAir Stake - Everything You Need To Know". Simple Flying (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-01.
- ↑ "RwandAir's CEO To Become IATA's First Female Chair In 2023 - Travel Radar". travelradar.aero (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2022-06-20. Iliwekwa mnamo 2022-11-01.
- ↑ "Rwanda: 'RwandAir not profitable, but catalytic for economy' – finance minister". The Africa Report.com (kwa American English). 2021-03-17. Iliwekwa mnamo 2022-11-01.
- ↑ "RwandAir – Visit Rwanda" (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-11-01.
- ↑ "RwandAir – Visit Rwanda" (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-11-01.
- ↑ "RwandAir's Oneworld membership could open up African travel - Executive Traveller". www.executivetraveller.com (kwa Kiingereza). 2022-10-05. Iliwekwa mnamo 2022-11-01.